Wafanyakazi 50 wa TARI waendelea kunolewa jijini Dodoma

NA MWANDISHI MAALUM

WAFANYAKAZI 50 wa vituo 17 vya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) katika idara za ugavi na uhasibu wanaendelea na mafunzo ya siku tano jijini Dodoma.


Mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo wa ufahamu wa mfumo wa ulipaji serikalini (MUSE) ambayo yanaendeshwa na maofisa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango.Akieleza juu ya mfumo huo ofisa kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, David Mamboleo ameeleza kuwa moja ya faida ya kutumia mfumo huo wa MUSE ni kurahisisha ufungaji hesabu za serikali kwenye taasisi.

Post a Comment

0 Comments