Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Waziri Simbachawene wateta


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akizungumza na Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani. Kikao hicho kimefanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akimsikiliza Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Marekani.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) wakipongezana na Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Donald Wright baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news