Bodi ya Ligi yafanya marekebisho ya ratiba yatakayoathiri michezo 12 ya Ligi Kuu ya NBC

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

BODI ya Ligi Kuu Tanzania ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imefanya marekebisho mengine madogo ya ratiba ya Ligi Kuu ya NBC kwa mechi kadhaa za katikati ya Januari,2022.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara kama inavyosomeka hapa chini;

Post a Comment

0 Comments