🔴LIVE:Mjadala wa Kitaifa kuhusu Uchaguzi wa Spika wa Bunge na matarajio ya wananchi kwa Spika ajaye

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa leo Jumamosi ya Januari 22, 2022 kupitia mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. 

Katika mkutano huu  ambao unaratibiwa na Watch Tanzania na kudhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) mada imejikita katika Mjadala wa kitaifa kuhusu Uchaguzi wa Spika wa Bunge na matarajio ya wananchi kwa Spika ajaye.
 
Unaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa shorturl.at/yHL15

Au kupitia

Meeting ID: 89873566617

Passcode: 497502

Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV. 

Karibu tujadili kwa pamoja sifa za Spika wa Bunge anayetufaa. Usikose!

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news