🔴 LIVE:Rais Samia mgeni rasmi uwasilishwaji taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za UVIKO-19

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa mgeni rasmi katika hafla ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Virusi vya Korona (UVIKO-19) leo Januari 4,2022 Ikulu jijini Dar es Salaam.Tazama chini;

Post a Comment

0 Comments