Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar atoa mkono wa pole kwa familia za waliopata ajali ya kuzama kwa boti Kusini Pemba


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman ametoa mkono wa pole kwa familia za waliopata ajali ya kuzama kwa boti Kusini Pemba.

Post a Comment

0 Comments