Mashujaa Group LTD yamwaga ajira kwa waandishi wa habari nchini


Kampuni ya Mashujaa imesajiliwa chini ya BRELA kwa cheti namba 78568 kilichotolewa Septemba 6, 2010 ikisimamia Redio ya Mashujaa (89.5) iliyopo Lindi ambayo pia unaweza kusikiliza kupitia online www.mashujaafm.co.tz na Radio Hopaje (hfm 94.9) iliyopo Mtwara.

Post a Comment

0 Comments