Mheshimiwa Ummy Nderiananga akutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Watu Wenye Ulemavu, Mhe. ummy Nderiananga amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja,Mhe.Rashid Hadidi Rashid leo Januari 6, 2022 jijini Zanzibar.Lengo la ziara hiyo ni kujionea utekelezaji wa shughuli za watu wenye ulemavu mkoani hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments