Mwamuzi wa Tanzania,Frank Komba akiwa kwenye mazoezi kujiandaa na mashindano ya AFCON

Mwamuzi wa Tanzania,Frank Komba akiwa kwenye mazoezi viwanja vya Japoma, Cameroon kujiandaa na mashindano ya AFCON, Komba ni miongoni mwa waamuzi walioteuliwa na CAF kuchezesha mashindano hayo yatakayoanza Januari 9, 2022. (Picha na TFF).

Post a Comment

0 Comments