Ofisi ya Waziri Mkuu yatoa mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana wilayani Kiteto

Sehemu ya vijana wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika mafunzo hayo ya Ujasirimali na Usimamizi wa Biashara yaliyofanyika katika kituo cha Elimu kwa Jamii Kibaya wilayani Kiteto, Mkoani Manyara. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Kijana Bejamin Darabe (kushoto aliyesimama) akichangia jambo wakati wa mafunzo ya ujuzi tepe (soft skills) yaliyotolewa kwa vijana kuhusu Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara wilayani Kiteto mkoani Manyara.
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Amina Sanga akitoa mada kuhusiana na stadi za uongozi wakati wa mafunzo ya ujuzi tepe (soft skills) yaliyotolewa kwa vijana kuhusu Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara wilayani Kiteto mkoani Manyara. 
Meneja kutoka Benki ya CRDB Kiteto, Bi. Gloria Samu akielezea fursa mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo katika kuwezesha vijana.
Afisa Uendelezaji Biashara Mwandamizi kutoka Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Bw. Joseph Mwingira akieleza jambo kuhusu masuala ya Ujasiriamali, Ubunifu na Uvumbuzi wakati wa mafunzo hayo.
Sehemu ya vijana wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika mafunzo hayo ya Ujasirimali na Usimamizi wa Biashara yaliyofanyika katika kituo cha Elimu kwa Jamii Kibaya wilayani Kiteto, Mkoani Manyara. 
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Atupokile Elia akitoa mada kuhusu fursa za Uwezeshaji wa vijana kiuchumi kitaifa katika mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara kwa vijana yaliyofanyika katika kituo cha Elimu kwa Jamii Kibaya Halmashauri ya wilaya ya Kiteto mkoani Manyara. 
Afisa Maendeleo ya Vijana kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Atupokile Elia akitoa mada kuhusu fursa za Uwezeshaji wa vijana kiuchumi kitaifa katika mafunzo ya Ujasiriamali na Usimamizi wa Biashara kwa vijana yaliyofanyika katika kituo cha Elimu kwa Jamii Kibaya Halmashauri ya wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news