Rais Dkt.Mwinyi atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) leo

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC), Dkt.Saleh Yussuf Mnemo kuanzia leo Januari 3,2022.
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa leo Januari 3, 2022 kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena A.Said.

Post a Comment

0 Comments