Rais Samia amjulia hali Sheikh Mkuu Tanzania


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimjulia hali Sheikh Mkuu wa Tanzania Mufti Abubakar Bin Zubeir anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam leo tarehe 4 Januari 2022.(PICHA NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments