Salamu MAALUM za pongezi kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwenda kwa viongozi wake wateule


Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ikiongozwa na kauli mbiu ya "Usalama wa Raia, Amani na Utulivu ndiyo Nguzo Yetu" imekuwa nguzo muhimu kwa Taifa letu lililotawaliwa na Amani na Utulivu kila pande huku kupitia idara zake mbalimbali ikitegemea kwa asilimia zote ushirikiano wa Watanzania wakati wote katika majukumu yake ya kila siku.

Post a Comment

0 Comments