Serikali:Tuna akiba ya dola milioni 6,253

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

SERIKALI imesema kuwa, ina akiba ya fedha za kigeni dola milioni 6,253 ambazo zinatosheleza kununua bidhaa na huduma kwa muda wa miezi saba.
Muonekano wa dola za Kimarekani zikiwa katika mpangilio. (Picha na Mtandao).

Hayo ni kwa mujibu wa maelezo ya ufafanuzi uliotolewa leo Januari 2,2021 na Serikali kama ilivyo hapa chini;

Post a Comment

0 Comments