TAARIFA YA ZIARA

LEO Januari 26, 2022 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa atafanya ziara katika Mji Mdogo wa Mirerani.
Katika ziara hiyo Waziri Mkuu atatembelea na kukagua masoko ya madini Mirerani.

Pia, atatembelea eneo la EPZ lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa maduka na viwanda vya kuongeza thamani Madini ya Tanzanite yanayochimbwa katika Mji huo

Taarifa rasmi itatolewa baada ya ziara hiyo.

Post a Comment

0 Comments