Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 24, 2022

NA GODFREY NNKO

FRANKA ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206.

Dola ya Marekani nchini inanunuliwa kwa Shilingi 2286.545 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.41.

Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2592.027 na kuuzwa kwa shilingi 2618.871.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 24, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Aidha,kwa mujibu wa BoT, Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3102.155 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3133.87.

Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 360.796 huku ikiuzwa kwa shilingi 364.117 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 20.1015 na kuuzwa kwa shilingi 20.301.

Wakati huo huo, Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.25 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.655.

Kwa upande wa Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 151.165 na kuuzwa kwa shilingi 152.64 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.155 na kuuzwa kwa shilingi 20.32.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news