WATCH TANZANIA INAKULETEA:Mjadala wa Kitaifa juu ya umuhimu na usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Januari 02, 2022 (Jumapili) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. NI kwa udhamini wa Benki ya Kilimo Tanzania (TADB).
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya Umuhimu na usimamizi mzuri wa mikopo katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati na maendeleo ya wananchi
Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa ~ shorturl.at/sxAGS

Au kupitia

Meeting ID: 82756041187

Passcode: 640976

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili faida za uwazi na usimamizi mzuri wa mikopo kwa maendeleo ya taifa letu. Usikose!

Post a Comment

0 Comments