WATCH TANZANIA: Kesho tunakualika katika mjadala wa Kitaifa juu ya dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano utakaofanyika Januari 10, 2022 (Jumatatu) kupitia mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.Ni kwa udhamini wa Benki ya Kilimo Tanzania TADB).
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu.

Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa ~ shorturl.at/cwIUY 

Au kupitia

Meeting ID: 89408495434

Passcode: 642996 

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV. 
Karibu tujadili dhana ya Mapinduzi ya Zanzibar na Falsafa ya Uchumi wa Buluu.

Post a Comment

0 Comments