🔴LIVE:Mwaka Mmoja wa Rais Samia Madarakani; Mafanikio katika Sekta ya Elimu

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano mubashara kupitia mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. 
Mada: Mwaka Mmoja wa Rais Samia Madarakani; Mafanikio katika Sekta ya Elimu

Shiriki kwa kubofya hapa https://bit.ly/3rIK4Xf

Au kupitia

Meeting ID: 892 34183874

Passcode: 532928


Mkutano huu unarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.


Karibu tujadili mafanikio katika Sekta ya Elimu kwa kipindi Cha Mwaka Mmoja wa Rais Samia madarakani. Usikose!

Post a Comment

0 Comments