Makamu wa Rais Dkt.Mpango ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa 35 AU

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango leo tarehe 5 Februari 2022 akishiriki Ufunguzi wa Mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika Addis Ababa, Ethiopia.
Mkutano huo umebeba kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Lishe na Usalama wa Chakula barani Afrika: Kuongeza kasi ya Uzalishaji katika Kilimo,Maendeleo ya Rasilimali Watu na Maendeleo Endelevu ya Kiuchumi

Post a Comment

0 Comments