Nafasi 45 za kazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya


Hospitali ya Rufaa ya mkoa Mbeya inapatikana katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya mtaa wa Forest mpya.Ujenzi wa Hosptali hii ulianza rasmi mwaka 1988.Wazo na nia ya ujenzi wa Hospitali hii ulitokana na kuwepo kwa mrundikano (congestion) wa wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya kanda Mbeya na Hospitali za wilaya kwa ujumla.

Ilianza kufanya kazi mwaka 1990 kama ofisi ya mkuu wa mkoa, na baadae mwaka 2002 ilianza kutoa huduma ya magonjwa ya nje(outpatient services).Mwaka 2010 mwezi wa kwanza hospitali ilianza kutoa huduma ya magonjwa ya ndani(inipatient services na baadae mpaka sasa huduma ya afya ya uzazi ikaanza kutolewa.Mpaka sasa hospitali inahudumia zaidi ya wakazi milioni 1.9 ndani na Nje ya jiji la Mbeya.

Post a Comment

0 Comments