Saa chache baada ya Rais Samia kuwafuta kazi wakurugenzi, Waziri atoa maelekezo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Innocent Bashungwa (Mb) amemwelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais -TAMISEMI kuteua Maafisa watakaokaimu nafasi za Wakurugenzi wa halmashauri nne.Soma kwa kina hapa>>>

Ni ambao uteuzi wao umetenguliwa leo Februari 4, 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Samia Suluhu Hassan hadi hapo nafasi zao zitakapojazwa rasmi.

Post a Comment

0 Comments