Spika Dkt.Tulia afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Mkurugenzi Asas Diaries, uongozi wa PBZ BANK


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (watatu kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dkt. Alphonce Chandika (watatu kushoto) alieambatana na watendaji kutoka hospitali hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Mkurugenzi wa uzalishaji wa kampuni ya maziwa ya ASAS, Ndg. Ahmed Salim Abri alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akizungumza na Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud (wakwanza kushoto) alieambatana na Maafisa kutoka Benki hiyo walipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson Mb, (kushoto) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Benki ya Watu wa Zanzibar Tawi la Dodoma, Ndg. Mohamed Masoud alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Februari 18, 2022. (PICHA NA OFISI YA BUNGE).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news