Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Februari 18, 2022

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza inanunuliwa kwa Shilingi 3112.943 huku ikiuzwa kwa Shilingi 3144.3031 na Franka ya Burundi inanunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.206.

Aidha,dola ya Marekani nchini inanunuliwa kwa Shilingi 2286.943 huku ikiuzwa kwa Shilingi 2309.61.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Februari 18, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Wakati huo huo, Euro ya Ulaya inanunuliwa kwa shilingi 2600.71 na kuuzwa kwa shilingi 2626.95 na Yuan ya China inanunuliwa kwa shilingi 360.816 huku ikiuzwa kwa shilingi 364.39 na Yen ya Japan inanunuliwa kwa shilingi 19.88 na kuuzwa kwa shilingi 20.1.

Kwa upande wa Franka ya Rwanda inanunuliwa kwa shilingi 2.18 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku shilingi ya Uganda ikinunuliwa kwa shilingi 0.63 na kuuzwa kwa shilingi 0.66.
Aidha, Randi ya Afrika Kusini inanunuliwa kwa shilingi 152.85 na kuuzwa kwa shilingi 154.295 huku shilingi ya Kenya ikinunuliwa kwa shilingi 20.15 na kuuzwa kwa shilingi 20.30.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news