Waziri Mhagama asisitiza umuhimu wa mifumo ya TEHAMA nchini

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Mifumo ya  TEHAMA ndio itaiwezesha Serikali kutoa huduma bora kwa wananchi katika sekta zote nchini

Post a Comment

0 Comments