Waziri Prof.Ndalichako akutana na kufanya mazungumzo na uongozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (wa pili kutoka kulia) akifungua tovuti ya Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (Dodoma Youth Development Organization) alipotembelewa na ugeni kutoka taasisi hiyo iliyopo Jijini Dodoma. Wa pili kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) Bw. Rajabu Suleiman.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akikabidhiwa cheti cha pongezi kutoka kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) Bw. Rajabu Suleiman (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma, Februari 17, 2022.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) Bw. Rajabu Suleiman (kulia) akifafanua jambo kuhusu majukumu yanayotekelezwa na taasisi hiyo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) walipomtembelea ofisini kwake Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma, Februari 17, 2022.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Bw. Julius Tweneshe akieleza jambo wakati wa kikao hicho cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako na ugeni kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) walipomtembelea ofisini kwake Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma, Februari 17, 2022.
Sehemu ya ugeni kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) walipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali ya ustawi wa vijana.
Sehemu ya ugeni kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (hayupo pichani) walipomtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujadiliana masuala mbalimbali ya ustawi wa vijana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako akizungumza viongozi wa Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (Dodoma Youth Development Organization) walipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma, Februari 17, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi kutoka Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Dodoma (DOYODO) Bw. Rajabu Suleiman (kushoto) walipomtembelea ofisini kwake Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma, Februari 17, 2022.(Picha na OWM - KVAU).

Post a Comment

0 Comments