Kamati:Tunatarajia mabadiliko makubwa ya kiutendaji katika Ofisi ya Rais-UTUMISHI

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa,Mhe. Abdallah Chaurembo amesema kamati yake inatarajia mabadiliko makubwa ya kiutendaji ya Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora yatakayokuwa na tija kwa wananchi na maendeleo ya taifa.


Post a Comment

0 Comments