Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ashiriki kikao muhimu Afrika Kusini

KAMISHNA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA), Gerald Kusaya, leo Machi 28,2022 jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini ameshiriki kikao cha pamoja cha Wakuu wa Vyombo vinavyohusika na Mapambano dhidi ya Dawa za Kulevya katika nchi tatu za Tanzania, Msumbiji na Afrika Kusini ‘Trilateral States’.

Kikao hicho cha siku mbili, kimeanza leo kujadili masuala mbalimbali yanayohusu mapambano dhidi ya dawa za kulevya baina ya nchi hizo tatu.




Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news