Ni leo kuanzia saa 10 jioni, mjulishe na mwenzako MSIKOSE

WATCH Tanzania inakualika kushiriki Mkutano utakaofanyika leo Machi 26, 2022 (Jumamosi) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 10 kamili jioni hadi 12:30 jioni.
Mkutano huu utajadili;Maendeleo katika Sekta ya Usafiri na Miundombinu kwa Mwaka Mmoja wa Rais Samia madarakani.

Muda ukifika Saa 10 kamili, utaweza kujiunga na kushiriki moja kwa moja kwa kubofya hapa https://bit.ly/3iuFC8Q

Au kupitia

Meeting ID: 87616801175

Passcode: 084417

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Sauti Kuu, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Karibu tujadili kwa pamoja maendeleo katika Sekta ya Usafiri na Miundombinu kwa Mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani. Usikose.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania.

Post a Comment

0 Comments