Rais Dkt.Mwinyi ateta na Balozi mpya wa China nchini Tanzania


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyika kazi zake Zanzibar, Mhe. Zhang Zhzsheng. (Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mpya wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Chen Mingjian alipofika Ikulu jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha na Balozi mpya wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe.Chen Mingjian, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar, alipofika kujitambulisha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news