Waziri Mkuu aangazia fursa za michezo kwa Watanzania huko Qatar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka Afisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll (kushoto) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar. (Picha na OWM).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mratibu wa Mafunzo ya Mpira wa Miguu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire , Daniel Bonanno (kulia) wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. (Picha na OWM).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea jezi iliyoandikwa jina lake kutoka kwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Michezo (Sports Academy) kiitwacho Aspire, Tim Cahilll wakati alipotembelea kituo hicho kilichopo Doha nchini Qatar, Machi 22, 2022. Jezi hiyo ilitolewa kama kumbukumbu ya ziara yake kituoni hapo.(Picha na OWM).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news