Yanga yaupiga mwingi Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), yamtoa Mtanzania wa kwanza

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

KLABU ya Yanga imempongeza Mwanasheria wake, Wakili Simon Patrick kwa kuteuliwa kwake kuwa mmoja wa Mawakili Wasaidizi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Wakili Simon ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na wanachama wa Klabu ya Yanga, anakuwa Mtanzania wa kwanza kuteuliwa katika nafasi hiyo, "hivyo kuweka historia yake binafsi, klabu na Taifa kwa ujumla".

Post a Comment

0 Comments