CHAMA CHA WANASHERIA WANAWAKE TAWLA CHAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA DAR


Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) Bi. Lulu Ng'wanakilala akifungua mkutano Mkuu wa 32 wa Mwaka wa Chama hicho unaofanyika kwenye hoteli ya Slipway jijini Dar es Salaam ambapo wanasheria mbalimbali wananwake ambao ni wanachama wa chama hicho wanashiriki. (Picha na John Bukuku).
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Wanasheria Wanawake (TAWLA), Bi. Tike Mwambipile akitoa maelezo kwenye mkutano huo kabla ya kumkaribisha Bi. Lulu Ng'wanakilala Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (TAWLA) ili kuzungumza.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (TAWLA) Bi. Lulu Ng'wanakilala na Jaji Mstaafu Joaquine De- Melo wakiwa katika mkutano huo.
Dr. Hellen Kijo Bisimba akitoa mada katika mkutano huo unaofanyika kwenye hoteli ya Slipway jijini Dar es Salaam.
Jaji Mstaafu Joaquine De- Melo ambaye ni mwanachama wa (TAWLA) akitoa nasaha zake kwa wanachama katika mkutano huo.
Dr. Gavin Kweka mwanasaikilojia akizungumza na wananchama wa (TAWLA) na kuwapa mada mbalimbali kuhusu msongo wa mawazo unavyoathiri watu wengi katika maisha.
Picha mbalimbali zikiwaonesha wanasheria wanawake ambao ni wanachama wa TAWLA wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano huo.
Picha mbalimbali zikiwaonesha wanasheria wanawake ambao ni wanachama wa TAWLA wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano huo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news