DC Kiswaga afanya ziara ya kikazi Barrick Bulyanhulu, ahamasisha chanjo ya UVIKO-19

DIRAMAKINI

MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. Festo Kiswaga amefanya ziara ya kikazi katika Mgodi wa Barrick Bulyanhulu na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kwa wafanyakazi.
Ameipongeza Barrick kwa jitihada inazofanya kuunga mkono jitihada za Serikali kuhamasisha na kufanikisha zoezi linaloendelea la chanjo ya UVIKO-19.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Festo Kiswaga (wa pili kutoka kushoto) akimsikiliza Meneja wa mgodi wa Bulyanhulu,Cheick Sangare (kushoto) wakati alipotembelea mgodi na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kwa wafanyakazi.Wengine pichani ni Maofisa Waandamizi wa kampuni hiyo.
Wafanyakazi wa Mgodi wa Barrick wa Bulyanhulu wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki zoezi la kuhamasisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kwa wafanyakazi.
Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kwa wafanyakazi.
Mmoja wa wafanyakazi wa Barrick Bulyanhulu akiuliza swali wakati wa ziara ya Mkuu wa Wilaya ya Kahama,Festo Kiswaga alipotembelea mgodi huo na kushiriki kuhamasisha zoezi la chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19 kwa wafanyakazi.
Maofisa wa Barrick na Serikali wakibadilishana mawazo wakati wa ziara hiyo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news