Rais Samia ateta na uongozi wa Benki ya Equity

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity, Dkt. James Mwangi mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity, Dkt. James Mwangi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity Dkt. James Mwangi mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2022. (Picha na Ikulu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news