Spika Dkt.Tulia ateta na uongozi wa TAKUKURU, ZAECA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU),Bi.Neema Mwakalyelye pamoja Mkurugenzi wa Kinga Dhidi ya Rushwa (ZAECA), Makame Hassan Bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022.

Post a Comment

0 Comments