Waziri Mkuu bungeni, matukio katika picha leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Innocent Bashungwa, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Maji Eng. Maryprisca Mahundi, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, bungeni jijini Dodoma, Aprili 12, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news