Je, kwa mwanafunzi anayetaka kubadilisha TAHASUSI kwenye shule ile ile aliyopangiwa? Mfano alipangiwa HGL lakini yeye anataka akasomee EGM?

KWA mujibu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kubadilisha tahasusi ni jukumu la mkuu wa shule baada ya kupata kibali kwa Afisa Elimu Mkoa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news