Ni kama miujizia kujaliwa watoto mapacha maishani mwangu-Fetty

NA MWANDISHI WETU

JINA langu ni Fetty nimeishi maisha ya ndoa kwa miaka 12 sasa na mume wangu, Mudy katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu.
Nakumbuka kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata watoto mapacha. Wengi walinieleza kuwa ni vigumu ikiwa kwenye familia yenu hakuna mtu aliyewahi kujaliwa mapacha lakini nikajipa moyo ipo siku nitapata tu.

Miaka miwili ya ndoa tulienda hospitali mbalimbali na mume wangu kutaka usaidizi ili kuweza kupata mtoto kwani tuliona muda unazidi kwenda na ndugu wameanza maneno. Tulipatiwa ushauri na baadhi ya dawa na kuanza kutumia kama ambavyo Daktari alishauri, lakini bado sikuweza kupata ujauzito.

Siku moja nilisafiri toka nyumbani kwetu Tanga kwenda kwa shangazi yangu ambaye ameolewa Mombasa nchini Kenya, nilikaa huku kwa muda wa wiki mbili na nusu kabla ya kurejea nyumbani.

Katika stori zetu za hapa na pale nilimueleza shangazi kuwa nimekuwa nikihangaika kupata mtoto kwa muda mrefu ambao ni miaka mitano, akaniambia mbona sikumueleza mapema jambo hilo, nikamjibu sikupenda kutoa mambo yangu ya ndani kuhusu ndoa kwa wepesi sana.

Basi alimuita mtoto wake mdogo akamuagiza ndani akamletee notebook yake, akaifungua akatoa namba hii +254 769404965, akaniambia ebu piga hiyo namba ni ya Dr. Kiwanga. Basi nikapiga pale pale na kweli akapokea, nikamueleza shida yangu, akanielekeza ofisi kwake mjini Kericho.

Siku iliyofuata mimi na shangazi yangu tukasafiri hadi Kericho, tukapokelewa vizuri hadi mwenyewe nikajihisi kupata suluhisho la changamoto yangu. Dr. Kiwanga anganifanyiaa ganga nganga zake pamoja na kunipatia dawa na kuniambia nisiwe na wasiwasi na muda wowote nikihitaji msaada nimpigie.

Tulirejea nyumbani na shangazi kisha mimi nikafungasha vilivyo vyangu nikarudi kwa mume wangu, alinipokea kwa bashasha maana alikuwa amenimisi sana kipenzi chake. Usiku nikampatia chakula chake muhimu cha usiku kama kawaida yetu bila kumwambia nilienda kwa Dr. Kiwanga.

Kupita wiki tatu hivi niliamka asubuhi na kuanza kutapika, alinipeleka hospitali na baada ya vipimo akaambiwa mkewe ni mjamzito, mwenyewe hakuamini machoni mwake. Tuliporejea nyumbani ndipo nikamwambia shangazi alinipeleka kwa Dr. Kiwanga na akashukuru sana.

Baada ya miezi tisa nilijifungua mtoto wa kike, nilifurahi sana na ndugu zangu na zake pia walifurahi kwa pamoja, kikubwa zaidi miaka miwili mbele nikajifungua watoto mapacha wa kike na kiume, na hapo ndipo namshukuru sana Dr. Kiwanga.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news