Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Mei 5,2022

NA GODFREY NNKO

LEO shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.62 na kuuzwa kwa shilingi 0.65 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Mei 5, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.6 na kuuzwa kwa shilingi 17.8 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.9 na kuuzwa kwa shilingi 145.3.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2287.5 na kuuzwa kwa shilingi 2310.4 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2873.1 na kuuzwa kwa shilingi 2902.1.

Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2407.4 na kuuzwa kwa shilingi 2432.4 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 346.1 na kuuzwa kwa shilingi 349.6.

Wakati huo huo, shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.8 na kuuzwa kwa shilingi 19.9.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news