Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 24, 2022

NA GODFREY NNKO

LEO Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 224.91 na kuuzwa kwa shilingi 227.09 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 143.16 na kuuzwa kwa shilingi 144.52.
Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.58 na kuuzwa kwa shilingi 0.61huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.21.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 24, 2022 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 624.05 na kuuzwa kwa shilingi 630.12 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.1 na kuuzwa kwa shilingi 148.4.

Kwacha ya Malawi (MWK) inanunuliwa kwa shilingi 2.08 na kuuzwa kwa shilingi 2.24 huku Rupia ya Pakistan (PKR) ikinunuliwa kwa shilingi 10.51 na kuuzwa kwa shilingi 11.14.
Rupia ya India (INR) inanunuliwa kwa shilingi 29.3 na kuuzwa kwa shilingi 29.5 huku Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 19.5 na kuuzwa kwa shilingi 19.6.

Aidha,Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2406.35 na kuuzwa kwa shilingi 2431.36 huku Paundi ya Uingereza (GBP) ikinunuliwa kwa shilingi 2800.53 na kuuzwa kwa shilingi 2829.23.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news