Mbowe kuzungumza na vyombo vya habari dakika chache zijazo


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Freeman Mbowe dakika chache zijazo anatarajia kuongea na vyombo vya habari usiku huu.

Kwa mujibu wa chanzo cha karibu kimemdokeza Mwandishi Diramakini kuwa, mkutano huo utafanyika saa tatu kamili katika ukumbi wa Bahari Beach Hotel jijini Dar es Salaam. Kwa kina endelea kufuatilia hapa....


Post a Comment

0 Comments