LIVE:Rais Magufuli akizindua majengo ya Shule ya Ihungo mjini Bukoba

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 18 Januari, 2020 akizindua Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyopo mjini Bukoba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi mara baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera. Kushoto ni Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar, Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti wakati akikata utepe kufungua Majengo mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari Ihungo ambayo iliathiriwa vibaya na tetemeko la ardhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Uingereza hapa nchini David Concar alipomaliza kuongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi wa dini alipomaliza kuongea na wananchi baada ya kufungua majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipungia mkono mamia ya wananchi baada ya kufungua majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wananchi baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba, Kagera.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali
Marco Gaguti na Naibui Waziri wa Nishati na Mbunge wa Kigoma Mjini
Mhe. Stephen Byabato baada ya kufungua Majengo ya mapya ya madarasa ya
Shule ya Sekondari ya wavulana ya Ihungo iliyopo Bukoba mkoani Kagera.

Post a Comment

0 Comments