Waziri Mkuu Majaliwa awapongeza Tigo kwa kudhamini mashindano ya MAKISATU


Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akabidhi cheti cha ushiriki & udhamini kwa Meneja wa Tigo Kanda ya Kaskazini, Bw Saidi Idd katika maonesho ya wiki ya ubunifu yaliyofanyika viwanja vya Jamhuri, Dodoma ambapo Tigo kwa mara ya kwanza imedhamini & imeshiriki kikamilifu kwa kuonesha bunifu mbalimbali za bidhaa na huduma ambazo Tigo imebuni ili kuleta ufanisi kwenye kufikia uchumi endelevu.
Tigo imeshiriki kikamilifu kueonesha bunifu mbalimbali za bidhaa na huduma ambazo imebuni ili kuleta ufanisi kwenye kufikia uchumi endelevu.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na wadhamini wa maonesho ya sayansi, teknolojia na ubunifu. Tigo kwa mara ya kwanza imeshiriki na kudhamini kikamilifu maonesho hayo yanayofanyika kila mwaka.Tigo imeonesha bunifu mbalimbali za bidhaa na huduma ambazo imebuni ili kuleta ufanisi kwenye kufikia uchumi endelevu.

Tigo imeshiriki kikamilifu kueonesha bunifu mbalimbali za bidhaa na huduma ambazo imebuni ili kuleta ufanisi kwenye kufikia uchumi endelevu.

Post a Comment

0 Comments