LIVE VIDEO: Juni 14, 2021 kuna jambo la kihistoria hapa Misungwi

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho kutwa ya Juni 14, 2021 anatarajiwa kuzindua mradi mkubwa wa maji hapa wilayani Misungwi mkoa wa Mwanza. "TUKUTANE MISUNGWI"


Post a Comment

0 Comments