Rais Samia atangaza siku saba za maombolezo ya Kitaifa kifo cha Rais Kenneth Kaunda


Rais wa Kwanza wa Tanzania, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (katikati) akiwa na Hayati Robert Mugabe (Zimbabwe) na Hayati Kenneth Kaunda wa Zambia wakati wa harakati zao za Ukombozi wa Bara la Afrika.Mzee Kaunda amefariki mapema wiki hii na kwa kutambua mchango na umuhimu wa kiongozi huyo na kudumisha mshikamano na Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza siku saba za maombolezo.Post a Comment

0 Comments