RAIS SAMIA ATEUA WENYEVITI WA BODI ZA WAKURUGENZI , TBS, TPDC, TASAC NA KOROSHO

 NA GODFREY NNKO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt.Fenella Mukangara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Dkt.Mukangara ni Mhadhiri Mwandamizi Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM).

Wengine ni Brigedia (Mstaafu) Aloyce Mwanjile, Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania, Khalfan Ramadhan, Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Kapteni Mussa Mandia ambaye ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)

Post a Comment

0 Comments