Rais Samia azindua jengo la Benki Kuu Tanzania tawi la Mwanza


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta utepe pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Profesa Florens Luoga, Waziri wa Madini Doto Biteko, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi pamoja na viongozi mbalimbali akikata utepe kufungua Jengo la Ofisi ya Benki Kuu ya Tanzania tawi la Mwanza katika sherehe zilizofanyika Jijini Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Pansiasi Jijini Mwanza wakati akielekea kuzindua Jengo la Benki Kuu ya Tanzania Tawi la Mwanza leo tarehe 13 Juni, 2021. (PICHA NA IKULU).

Post a Comment

0 Comments