Serikali yatadharisha viashiria vya kutokea wimbi la tatu maambukizi ya Corona Tanzania


Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt. Leonard Subi akizungumza na Waadishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam kuhusu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 na uwezekano wa kutokea kwa wimbi la tatu la maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19 Nchini.

Post a Comment

0 Comments