ZANZIBAR-Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mhe. Samwel M. Maneno amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia msiba wa Mheshimiwa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Septemba, 2026 nyumbani Kizimkazi Zanzibar.
Tags
Habari
Kitabu cha Maombolezo
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Samuel Maneno
